Placeholder text

Gadi

Gadi

0 - Default Title
Description
Veronica Mwalasisi, binti wa kitanzania anayesoma nchini Marekani, anajikuta matatani baada ya kupata ajali. Iliyotokea baada ya kufanyiwa akiendesha gari na kijana wa kutokea familia ya inayohusika na uhalifu. Ajali ile licha ya kumuumiza, pia iliondoka na maisha ya kijana yule kwa bahati mbaya. Suala linalozua hofu sababu mzazi wake alisifika kwa ukatili, asiyejua kama mtoto wake alikosea au la. Binti ilimbidi aondolewe Marekani, ndugu zake waliamua aondoke kwa meli. Ila aliishia kuingiwa na ukaidi, akaenda kinyume na maagizo yao. Kwa kupanda nyingine tofauti aliyoandaliwa. Asijue meli si salama, na ingeweza kusababisha mauti yake. Salama yake ikawa ni kuagizwa Gadi, ambaye alipaswa kumsindikiza. Huyo ndiye pekee alibeba tumaini la wote. Ila bado alikuja kumfanyia vitimbi, kisa alihisi alimbana. Matokeo alihatarisha kazi ya mlinzi wake, aliyemwona hafai kumbe ndiye salama kuwa naye.
Product details
Binding:
Paperback
Number of Pages:
172
Publication Date:
2018-10-01
Publisher:
Mambosasa
Languages:
Original: Swahili
ISBN13:
9798231528820
Weight:
225 g
Height:
140 cm
Width:
216 cm
Thickness:
10 cm
Currently sold out