Placeholder text

KITABU CHA MAFUNDISHO

Product Image: KITABU CHA MAFUNDISHO

KITABU CHA MAFUNDISHO

0 - Default Title
Description
Katika nyakati hizi za misukosuko, mnapitika mambo mengi ambayo hatuna uwezo wa kuimudu. Lakini kila mmoja ana uwezo wa kuingoza "maisha yake ya kiroho", akitaka. Ndiyo maana Gabriele, nabii na mjumbe wa Mungu kwa wakati wetu huu, anotoa kitabuni humu maelekezo kwa ajili ya kuingia katika Enzi Mpya, kwa kumsaidia kila mmoja kuitolea maisha yake mwelekeo mpya.Anatuonyesha njia inayotufikisha kwenye uhuru wa kiroho, kwenye Amani, pia kwenye mawasiliano halisi na majirani,wanyama na mazingira.Kwa hiyo tunaishi tukiwa na dhamiri kwamba Mungu, Roho huru, yupo karibu sana na kila mmoja wetu: Mungu ndani mwetu na sisi ndani ya Mungu.Madondoo :"Kila mmoja wetu anajenga mwenyewe, siku baada ya siku, utu wake. Hayo yana maana kwamba kila siku, kupitia mwenendo wetu, tunajenga mwili wetu kwa kuuongezea nguvu, au kwa kuupunguzia kiwango cha nguvu, na hayo tu kutokana na namna yetu ya kuishi inayojionyesha katika mienendo yetu."
Product details
Binding:
Paperback
Number of Pages:
86
Publication Date:
2023-03-20
Publisher:
Gabriele Publishing House
Languages:
Original: Swahili
ISBN10:
3964464031
ISBN13:
9783964464033
GPSR Manufacturer Reference:
Minimum Reading Age:
18
Maximum Reading Age:
150
Weight:
90 g
Height:
127 cm
Width:
178 cm
Thickness:
5 cm
Currently sold out