Placeholder text

Najisikia Kuua Tena

Najisikia Kuua Tena book

Najisikia Kuua Tena

0 - Default Title
Description
"...Inspekta, najisikia kuua tena..." inadai sauti katika sim ambayo imo mikononi mwa shupavu wa polisi. Hii ikiwa simu ya pili, baada ya ile ya awali ambayo ilifuatwa na kifo cha mwandishi maarufu, inamtia Inspekta hasira kali, nusu ya wazimu. Anafanya yote awezayo kufanya ili amtie mwuaju huyu mikononi mwa sheria...hapatikani... Ndipo anajitokeza Joram Kiango. Mbinu zake za pekee, pamoja na kutokwa jasho jingi, kunamwezesha kugundua mengi amabyo yanaitisha dunia na kuitetemesha nchi nzima. lakini kila hatua anayoipiga katika upelelezi wake inamsongeza karibu zaidi na kinywa cha mauti chenye kiu ya damu yake, kilicho wazi kikimsubiri kwa hamu...
Product details
Binding:
Paperback
Number of Pages:
114
Release Date:
1985-09-04
Publication Date:
1985-09-04
Publisher:
African Books Collective
Languages:
Original: Swahili
ISBN10:
9966469532
ISBN13:
9789966469533
Weight:
116 g
Height:
127 cm
Width:
178 cm
Thickness:
6 cm
Currently sold out