{"product_id":"adam-hassan-wimbo-wa-bata-bukini-na-hadithi-nyingine-za-wanyama-zenye-adili-9783921008072","title":"Wimbo wa Bata Bukini na hadithi nyingine za wanyama zenye adili","description":"Hadithi hizi za wanyama zilitungwa zamani sana na Aesop (Aisopo), Myunani aliyeishi hapo kale kaﬁka nchi ya Uyunani ambayo siku hizi inajulikana kwa jina la Ugiriki. Hadithi zake nyingi zimetafsiriwa kwa lugha nyingi ili kuwaburudisha watu. Mimi nimezibadili na kuzipanua kidogo ili zipate kuwa na \"ladha\" ya Kiafrika. Na kila mwisho wa hadithi, ilipowezekana, nimejaribu kutoa methali ya Kiswahili kuhusu hadithi yenyewe. Hiki ni kitabu cha kwanza cha vitabu vichache vya hadithi hizi za wanyama zenye adili nilivyokusudia kuvitoa kwa madhumuni ya kutuburudisha, kulupanua mawazo ma kutufundisha mengi ya hekima na yenye busara. Natumaini vitawaburudisha wasomaji.","brand":"OMIMEE Intercultural Publishers","offers":[{"title":"Used - good","offer_id":53590996418902,"sku":"9783921008072-G","price":152.49,"currency_code":"EUR","in_stock":true}],"thumbnail_url":"\/\/cdn.shopify.com\/s\/files\/1\/0925\/5829\/5382\/files\/product_image_9783921008072_1_5deec77b-9ff9-45bc-ac04-7bc02dcde6fd.jpg?v=1781717474","url":"https:\/\/www.momoxbooks.com\/products\/adam-hassan-wimbo-wa-bata-bukini-na-hadithi-nyingine-za-wanyama-zenye-adili-9783921008072","provider":"momoxbooks","version":"1.0","type":"link"}